HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA KUTATUA TATIZO LA MSONGAMANO WA WAFANYABIASHARA SOKOKUU


Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Blavo Kizito
Halmashauri ya manispaa ya Singida imesema kuwa inatambua msongamano wa wafanyabiashara  eneo la soko kuu  jambo ambalo uwagalimu kusukumana kipindi wafanyapo biashara zao.


Akizungumza na kipindi hiki mkurugenzi wa manispaa ya Singida Bw.Bravo Kizito amesema kuwa wao kama manispaa watafungua masoko mbali mbali ili wafanyabiashara hao kufanya biashara zao kwa uhuru.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments