Maarusi wakiwasili kanisa la KKKT dayosisi ya kati usaharika wa Emmanuel mjini Singida |
watoto na wanafamilia ya Bw Damiani mkumbo na Juliana Isaya |
Maarusi waliyodumu miaka 50 Bw Damiani na Bi Juliana kwamadaha wakikumbuka siku ya harusi yao 1966 |
Baada ya kuwasili wakipokelewa na Mchungaji Naonawelu Shumbi wa kanisa la KKKT (msalaba mlefu) Singida mjini kabla ya ibada. |
masafala wa kuingia kanisani kwenye ibada |
mchungaji Naonawelu Shumbi neno la siku hiyo lilikuwa ni Zab.147 (3)(11) |
Ikafiaka wakati wa kutoa ushuuda wa kila mmoja wao hapo mzee mkumbo akielezea sinto sahau yake. |
picha ya kumbukumbu baada ya ibada |
watoto wao wakitafakali jambo baada ya ibada kumalizika. |
0 Comments