Wilhem Kidabudya Katibu mkuu wa chama cha Riadha Tanzania (RT) |
wanariadha kutoka wilaya zote 6 wakiwa tayali kwa mbio za nyika zilizofanyika wialayani Ikungu dec 31 2016 |
viongozi wa cahama cha riadha mkoa wakijadiliana jambo |
wanariadha wa kike 9 wakipiga jalamba sambamba na mwanariadha mkongwe 273 akitoasapoti kwa vijana mama huyo mwenye watoto 10 na wajukuu 2 alimaliza mbio hizo za nyika bila kuvaa viatu. |
Mgeni rasimi wa mashindano hayo alikuwa ni kaimu mkurugenzi wa Halimashari ya wilaya ya Ikungi Ayubu Sengo kushoto akipata maelezo kutoka kwa m/kiti wa chama cha riadha mkoa wa Singida Itembe. |
mwanariadha wa kikike akipatiwa matibabu baada ya kupata tatizo la msuli |
wadhamini wa mashindano hayo walikuwa ni kampuni ya kiwanda cha mafuta ya Alizeti ya MOUNT MERU. |
0 Comments