Kwa mara ya nne mfululizo kipa namba moja wa Ujerumani na ya
Bayern Munich Manuel Neuer ametajwa kama golikipa bora duniani kwa mwaka wa nne
mfululizo.
Shirikisho la kimataifa linalojihusisha na maswala ya soka na takwimu (IFFHS) Ndilo lililotoa matokeo hayo.
Jumla ya walinda milango 13 wametajwa kuwa bora kwa mwaka huu huku Dennis Onyango kipa wa kimataifa wa Uganda na klabu bingwa ya Afrika Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini akiwa ndiye kipa pekee anayecheza nje ya bara la Ulaya akishika nafssi ya 10.
www.wapendasoka.com imekuwekea hapa majina ya walinda milango 13 bora kabisa duniani kwa mwaka huu 2016.
1.
Manuel
Neuer (Germany/FC Bayern München) 156 points
2.
Gianluigi
Buffon (Italy/Juventus Torino FC) 91 points
3.
Rui
Patricio (Portugal/Sporting Portugal) 50 points.
4.
Claudio
Bravo (Chile/FC Barcelona/Manchester City FC) 45 points.
5.
David
De Gea (Spain/Manchester United FC 37 points
6.
Jan
Oblak (Slovenia/Club Atletico de Madrid) 31 points.
7.
Hugo
Lloris (France/Tottenham Hotspur FC) 29 points
8.
Keylor
Navas (Costa Rica/Real Madrid CF) 18 points.
9.
Thibaut
Courtois (Belgium/Chelsea FC) 13 points.
10.
Denis
Onyango (Uganda/Mamelodi Sundowns) 5 points.
11.
Petr
Cech (Cech Republic/Arsenal London FC) 4 points.
12.
Samir
Handanovic (Slovenia/FC Inter Milano) 2 points.
13.
Marc
André Ter Stegen (Germany/FC Barcelona) 1 point
0 Comments