Katibu Mkuu wa Shirikisho la vyama vya wachimbaji Madini Tanzania Rogers Senzero akiongea na wajumbe wa mkutano mkuu wa kwanza jijini Dar
Dar -es -Salaam
Na Mwandishi wetu
Rais wa Shirikisho la Vyama Vya
Wachimbaji Madini Tanzania Ndugu John Wambura Bina anena maneno ya kiungwana
juu ya ukubwa wa nafasi yake na matarajio yake kupitia viongozi alio nao
vijana, Makamu wa Rais Femata Victor
Michael Tesha na Katibu Mkuu Femata Ndugu Rogers Sezero
Nipo hapa kwa ajili ya kuilinda Femata
ya sasa. ( haya ni maneno ya John Wambura)
Kazi ya utendaji nimewaachia vijana
mimi nipo kwenye ulinzi wa kuilinda Femata.
Ukomavu wa hali ya juu mno kwa Mh Rais
John Wambura Bina. Sijutii kuwa na Kaka Ndugu rafiki kama huyu.
Kazi yangu na ya familia zote za kiuchimbaji ni kumtia moyo na kuto mkatisha tamaa na zaidi kumwacha aendelee kuilinda Femata na sio kumpa mizigo ya maneno na taarifa zisizo msaidia kuilinda Femata.
Rais wa Shirikisho akiongea na kamati ya maafa ya kitaifa ikioongozwa na Mh Wiliam Lukuvi akiwa na katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM.
Aidha Rais wa Shirikisho la Vyama Vya Wachimbaji Madini Tanzania Ndugu John Wambura Bina akutana na Kamati ya Maafa ya kitaifa inayo ongozwa na Mh Waziri William Lukuvi katika eneo la tukio la uokoaji katika Jengo la Ghorofa lililo anguka Kariakoo Jijini Dar es salaam.
Mh Rais aliambatana na Makamu wa Rais
wa Femata Ndugu Victor Michael Tesha, Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini Femata
Ndugu Yusuph Kazi pamoja na viongozi waandamizi wa Femata kuhakikisha wana
husika na kutoa msaada wa kitaalamu na uzoefu wa mazingira ya kiuchimbaji.
Mh Waziri William Lukuvi
aliwatambulisha viongozi wa Femata kwa jopo la waokozi walio tangulia wakiwa na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Ndugu
Albert Chamila
Tuna amini team iliyopo inao uwezo
mkubwa wa kutoa msaada kwenye tukio hilo na tuwaombee mashujaa wetu wakiongozwa
na Comred Hamza Tandiko
0 Comments