Wanahabari Abby Nkungu wa Habari leo na Emmanuel Michael wa Star Tv wakiwa katika mkutano huo uliyofanyika katika viwanja vya shule ya Mtamba iliyopo wilaya ya Mkalama . |
Mkurugenzi wa shirika la YMC Youth Movement For Change Bw Fidelis Hiunde akielezea lengo la kuanzisha program hiyo. |
Katika kuhakikisha mkoa wa Singida hasa wilaya ya
Mkalama unapandisha ufaulu wa mitiani ya darasa la saba kwa mwaka 2018 baada ya
kufanyanya vibaya mwaka jana 2018 Shirika ilisilo la mkiserikali la YOUTH MOVEMENT FOR CHANGE kupitia program maalum ya kuboresha Elimu ya msingi kuinua ufaulu katika shule za
msingi wilayani Mkalama inayoitwa LANES
PROJECT ikiwa na kauli mbiu ‘UWAJIBIKAJI
WA PAMOJA KWA ELIMU BORA KWA WOTE’
Program hiyo ya Elimu imezinduliwa katika shule ya
msingi Mtama wilayani Mkalama na kukutanisha wazazi,kamati za shule
,viongozi wa serikali ngazi ya kata na vijiji na wanafunzi na kujadili kwa
pamoja kujua chanzo cha kufanya vibaya kwa shule hiyo.
0 Comments