SINGIDA UNITED YAPATA USHINDI MNONO WA KWANZA NAMFUA 3 -0 DHIDI YA MBEYA CITY

Kocha msaizi wa Singida united Shadrak Nsajigwa akitoa maelekezo kwa Rajabu zahir kwa malaya kwanza katika benchi la SU mjini Singida.
Wachezaji wa Singida united wakishangilia bao la pili lilifungwa  na Tiba John  baada ya uzembe wa walinzi.
Baada kufungwa goli la 3 lilotokana na uzembe wa mlinda mlango wa Mbeya city kwa mpira kupita doba.
  


Yussuf Kagoma akipongezwa baada ya kufunga goli la tatu dhidi ya Mbeya city.

Koach wa Mbeya city akilalama baada ya kuona mambo hayaendi sawia  kwa mwamuzi msaidi Shaban Msangi.
Hemed Moroco kocha wa Singida united akitoa maelekezo kwa Awesu na Assad juma kabla ya kufanya mabadiliko.


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments