KIWANDA CHA MOUNT MERU SINGIDA CHAPIGWA STOP NA NAIBU WAZIRI KANGE RUGOLA


Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Lugola akipata taarifa ya utunzaji mazingira kutoka kwa meneja uhusiano wa kiwanda cha Mount Meru Nelson Mwakabuta  kabla ya kuanza kukagua mazingira 

Bw Nelson Mwakabuta akitoa maelezo juu ya kutililika kwa maji hayo nje ya kiwanda hicho huku yakielekea ziwa Singidani.




Picha ya juu ni tundu ambalo naibu waziri Rugola alilinyoshea mkono katika picha ya chini na kusababisha maji hayo machafu kulilikia katika maeneo ya nyumba za jirani




Moja kati ya mashimo makubwa ya maji machafu yalibainika kujaa kutokana na mvua zinazonyesha .


picha ya juu ni moja ya vyuma chakavu vilivyo bainika kutupwa ndani ya eneo na waziri Rugola kuagiza kupigwa faini , aliyshika kiuno ni mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh Mussa Sima wakiangalia taka hizo katikati mwenye suti nyeusi nimkuu wa wilya ya Singida Elias Tarimo.

Bw Nelson Mwakabuta akishika kiuno baada ya kubaini kupasuka kwa bomba la maji taka bila kugundulika huku mkuu wa wilya ya Singida akihoji juu ya maji hayo machafu kumwagika hovyo kiwandani hapo.




Naibu waziri Kangi Rugola akitoa tamko la kufunga kiwanda hicho baada ya kujionea mapungufu mpaka miundo mbinu itakapo tengemaa.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments