Bi RoseMjema ni mwezeshaji na mwenyekiti wa bodi ya ESTL akitoa elimu katika mkutano wa adhala uliyofanyika wilaya ya Singida kata ya Uhandi B |
Vitendo vya unyanyasaji wa mtoto wa kike vikiwa vinazidi kuendelea mkoani Singida mpaka sasa imepanda kufikia 43% kati ya mikoa 5 nchini inayoendeleza ukeketaji takwimu inaonyesha singida inashika nafasi 3 .,
shirika binafsi la EMPOWER SOCIETY TRANSFORM LIVES (ESTL) limeanza kutoa elimu mkoani Singida huku zaidi ya kata 15 mkoani hapa zitatarajia kufaidika na elimu hiyo itakayo walenga vijana.kina mama, wazee maalufu, viongozi wa dini zote, wanafunzi, wanahabari, viongozi mbali mbali vyama na serikali n.k
katika kata ya Uhandi B wilaya ya Singida jumla ya vijana 75 wamejitokeza kupata elimu hiyo nakusababisha Ngaliba mmoja kujitokeza adhalani na kukili kucha kukeketa.
Vifaa vinavyotumika wakati wa shughuli hiyo ya ukeketaji vikitolewa na kuonyeshwa na Ngariba baada ya kupata Elimu na kuamua kuwa shuhuda katika mkutano huo. |
0 Comments