Bi Rose Mjema mkurugenzi wa bodi ya Empower Society,Transform Lives akifafanua jambo flani katika semina hiyo katika ukumbi wa SINGIDA MOTEL Singida mjini. |
Bw Ramadhani kutoka kijiji cha Mgori akitoa ushuhuda juu ya adhali za ukeketeji. |
Waandishi
wa habari mkoani singida wamepata mafunzo ya namna ya kuandika taarifa
zinazohusu ukatili wa kijinsia ikiwemo suala la ukekeketaji kwa wanawake
Kauli hiyo imetolewa na makamu mwenyekiti wa
bodi ya shirika lisilo la kiserikali la Empower
Society,Transform Lives Bi Rose Mjema
Amesema lengo la mafunzo hayo kwa wanahabari ni kutokana na
mkoa wa singida kuwa miongoni mwa mikoa mitano nchini inayojihusisha na vitendo
vya ukeketaji kwa kiasi kikubwa hali inayo hatarisha .
Kwa upande wake mtendaji mkuu wa jinsia na watoto Bw Joshua
Kisutandu amesema kampeni hiyo imejikita katika maswala makuu manne ikiwemo
suala la afya mazingira pamoja na elimu huku wakitoa mafunzo hayo kwa mikoa ya
singida na Dar es salaam.
0 Comments