MILIONI 22 ZAPATIKANA KATIKA ZOEZI LA KAMATA KAMATA WAVAMIZI WA HIFADHI YA MSITU WA MGORI SINGID

Mmoja ya wafugaji akilipia faini ya kukutwa na ngombe na mbuzi katika eneo la hifadhi.
 



Mkuu wa wilaya ya Singida Bw Elias Tarimo akiongea na askari wa jeshi la polisi wakati wa zoezi hilo la siku mbili lililo kutanisha kamati ya ulinzi ya wilaya ya Singida nakufanikiwa kuchoma nyumba za wavamizi hao ikiwa ni mara ya pili kufanyika katika msitu huo.





Jamii ya wafugaji ilijitokeza na kutaka kuanzisha vulugu wakidai hawajui mpaka wa pori hilo baada ya kupata maelezo kutoka kwa viongozi wa kamati hiyo walitulia na kufuata maelekezo.




Nyumba zikichomwa moto baada ya kukutwa katikati ya msitu huku mmiliki akikimba baada ya kuona kikosi kazi kikija.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments