WAUMINI WA DINI YA KIISLAM MANISPAA YA SINGIDA WAKISALI SALA YA EID MUBARAK KATIKA VIWANJA VYA MKOMBOZI

Sheik Issa Nassor wa THAMARATUL  QA DIRIA  akitoa mawaidha ya siku kuu ya EID katika viwanja hivyo vya S/M Mkombozi.
Katika swala hiyo pia Kamanda Mpinga mkuu wa jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani  pia alipata kutoa maoni kwa madeleva wote kuwa makini wakati wa kusherehekea sikukuu ya Eid ili kuepusha ajali.


Jumbe Ismmail mwandishi wa habari wa Channel 10 akiwa katika sala ya Eid Mubarak.

Ranko Banadi (IGWEE) Mwenyekiti wa Singpress club akiwakatika sala ya Eid mubarak. 










Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments