MABINGWA WA SOKA MKOA WA SINGIDA 2017/18 STEND MISUNA WAWASILI MANISPAA YA SINGIDA

mashabiki wa timu wakipata chakula kabla ya kuanza msafara maeneo ya Puma







basi la wachezaji likiwa njiani maeneo ya Puma wilayani Ikungi.





 Stend misuna na Singida united ni ndugu wa karibu mkoani Singida.


msafara wa magari yakiingia makao makuu ya timu hiyo ya stend






vingozi waandamizi wa timu pamoja na mdhamini wa timu Mdiluh akiwana kombe mkononi.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments