MTU MMOJA AMEUKATA UUME WAKE (SINGIDA)



Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ntandu Mahumbi amejaribu kujiua kwa kujikata sehemu zake za siri pamoja na kujichoma kisu kifuani
pamoja na kujichoma kwa kisu kifuani kwa kile alichodai kuwa ni kutokana na ugumu wa maisha unaomkabili.

jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa kina ili kujua sababu zaidi za muathirika kufanya kitendo hicho na pindi uchunguzi ukikamilika atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili za kujaribu kujiua.


muathirika amewlazwa katika Hospitali ya Singida na hali yake inaendelea viruri.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments