JESTON BOSS MPYA STANDARD RADIO


Mkurugenzi wa Radio Standard Bw James daudi amemteua Jeston Kihwelu kuwa Meneja wa  kituo huku  nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na Alicy Achieng ambaye amemaliza muda wake. uteuzi huo umefanyika leo asubuhi katika kikao maalumu.

baada ya kukabiziwa majukumu hayo Bw Jeston Kihwelu alitoawito kwa staff nzima ya Radio  kushirikiana kwa pamoja na kuwa kitukimoja. 

Boss mpya akipeana mikono na Jenister m/kiti wa kikao


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments