Meneja wa mamlaka ya hali ya hewa Singida Bw Florian Rweyongeza akiongea na Jeston Khiwelu live ofisinikwake katika kipindi cha ZINDUDA |
Eneo hili kitaalamu linajulikana kama Instruments enclosure |
Cup counter |
EVERPORATION PAN- kiasi cha maji yaliyo potea angani kwa siku kwa njia ya mvuke
RAIN GANGE- zinapima mvua |
SOIL THERMOMETER - kupima joto la udongo |
Meneja wa mamlaka ya hali ya hewa mkoa Singida Bw Rweyongeza akionyesha jinsi wanavyopata vipimo vya hali ya hewa katika kibox maalum STENVENSON SCREEN |
Thermometers -Joto la hewa |
CUP COUNTER ANEMOMETER- umabali wa upepo uliyo safiri kwa siku |
SUN SHINE RECORDER- jua limewaka masaa mangapi |
ANEROID BAROMETER- inapima mgandamizo wa hewa (pressure |
ANEMOMETER-inapima nguvu ya upepo |
Bw Florian Rweyongeza akitoamaelezo juu ya ukusanyaji wa hali ya hewa kwa Mwanahabari. |
0 Comments