mkuu wa wilaya ya ikungi,mkoani singida,bwana miraji mtaturu akitoa taarifa kwa waandishi wa habari ofisini kwake juu ya maandalizi ya kumpokea mwanariadha msingida mwenzetu,simbu yanayotarajiwa kufanyika jumapili ya jan,28,mwaka huu ambapo sherehe hizo zitaambatana na mbio za kilomita tano kutoka shule ya msingi ighuka hadi shule ya sekondari Ikungi ambako kutafanyikia sherehe hizo., Mgeni rasimi katika tukio hilo la kihistoria anatarajia kuwa mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema nchimbi.
0 Comments