Mbegu ya Muhogoa kutoka katika shirika lisilo la kiserikali la RECODA , watafiti kutoka kituo cha utafiti wa kilimo Hombolo Seliani na shirika la utafiti la kiamataifa la ICRISAT
|
Mkuu wa mkoa wa Singida Dr Rehema Nchimbi akiwasili katika shamba la mbegu la Mpambaa.
|
Mkuu wa Mkoa pia alishiriki kupanda mbegu hiyo pamoja na wakuu wa idara wa ofisi ya wilaya ya Singida .
|
pamoja na kupanda muhogo pia walipanda Mbaazi, hapo mkuu wa mkoa Dr nchimbi na Mkiti wa halmashari Elia Digha katikati wakipata maelekezo kutoka kwa mtaalu wa kilimo Abel Mngale namna ya kupada
|
Zoezi la kupanda likiendela baada ya maelekezo. |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Singida Rashidi Madoa akipanda mbegu ya Mbaazi. |
Mkuu wa wilaya Elias Tarimoa pia akipanda mbegu. |
Mkiti wa Halmashauri ya wilaya ya Singida Elia Digha akichimba mashimo ya kupanda mbegu.
|
Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo akichimba mashimo ya kupanda mbegu. |
namna ya kupanda Muhogo |
Mkiti wa shirika lisilo la kiserikali la RECODA kutoka Dodoma akimkabidhi katiba ya shirika hilo mkuu wa mkoa .
|
Mbegu za Muhogo |
wakazi wa kijiji hicho cha Mpambaa walimuomba mkuu wa mkoa kuwatatulia mgogolo uliyopo juu ya kupewa sehemu ya kulima na wao.
|
Mkurugenzi wa wilaya ya Singida Rashidi Madoa akitoa ufafanuzu juu ya mgogolo huo . |
Baada ya kusikiliza pande zote mbili mkuu wa mkoa Dr nchimbi alitoamaagizo kuwa wanakijiji wapewe heka 100 katika heka 400 ili wapande mbegu pia. |
0 Comments