MAJENGO YATAKAYOTUMIKA KAMA OFISI YA HALMASHARI YA SINGIDA MJI WA IROGELO


Kituo cha waalimu Irongelo

Baada ya maelezo kutoka kwa mkurugenzi wa halmashari ya wilaya ya Singida ndipo mkuu wa mkoa wa Singida Dr nchimbi alitaka kujua ghalama ya ujenzi wa miundo mbinu ya choo na kuambiwa kuwa ni Sh mil 28 na kukataa malamoja bajeti hiyo.




Kituo cha waalimu kwa ndani ya jengo.

Kituoa cha Kilimo Sekotule

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments