John Gofrey meneja wa TRA mkoa wa Singida |
Kupitia kila
Hotel zilizopewa leseni ya biashara na TANAPA ushuru huo utatokana na kila
mteja atakae lala katika hoteli hizo mmiliki wake atatakiwa kuorodhesha mapato
yake ya huduma ya malazi ili TRA watakapo kuwa wanafanya ukaguzi wanatoza ushuru
huo.
Meneja
wa TRA mkoa wa singida bw John Gofrey Mangi amesema kuwa mkoani Singida kuna Hotel
24 tu ndizo zinaleseni hiyo na tayari wamekwisha kutana na wamiliki wa hoteli
hizo na kutoa maelekezo juu ya tamko la serikali.
0 Comments