Uzinduzi
wa Albamu ya kwaya ya IC Singida umeingia dosali baada ya mwimbaji wa nyimbo za
injili maarufu nchini na afrika mashariki Rose Muhando kuingia mitini ,dakika
za mwisho .
Mwenyekiti
wa kwaya hiyo bw,Mashara Japheth amesema
amepokea taari ya Rose Muhando akidai kuwa yuko hospitalini jijin Dare salaam
amelazwa lakini taarifa walizo zipata alikua Kahama akipiga sho.
Akizungumza
kuhusina na malipo Mwenyekiti huyo amesema alipewa laki nane mara ya kwanza na
kuomba apewe laki moja na nusu kwaajili ya usafili na baada ya kupewa fedha
hizo hakuonekana.
Mbali
na msanii huyo wapo wasanii wengine maarufu walio hudhurika katika ufunguzi huo
kama Pembe,Senga, Kingwendu,Ema Mwaitege na wengine ambao wamepafomu katika
Uzinduzi huo.
0 Comments