SEMINA YA UTAFITI WA MRADI WA ELIMU BORA UNAOFADHILIWA NA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TENMET)


 KELVIN NYEMA katibu mtendaji wa taasisi ya maendeleo kwa viziwi Tanzania TANAVITA akielezea juu ya watoto viziwi wanavyo pata shida wakati wa kupata elimu huku sababu kubwa ikiwa ni waalimu kutokuwa na sifa ya kufundisha viziwi huku baadhi ya shule zikikosa vifaa vya kufundishia ikiwemo vitabu n.k



Bi Tunnu Ali Amanzi katibu wa shirika linalojiusisha na kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto wakike akielezea changamoto wanazokutananazo watoto wa kike walemavu ikiwa ni pamoja na ukosevu wa miundombinu ya vyoo mashuleni












wadau wa elimu wakichangia mada katika semina hiyo

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments