Kamishna huyo amesema hataki kuingilia uchaguzi huo, lakini ana
haki ya kuzungumza.
Matamshi ya Trump dhidi ya wahamiaji, hususan raia wanaotoka
Mexico, yamezusha hasira kutoka kwa wanaharakati wa kutetea haki za binadamu.
Ameahidi kujenga ukuta katika mpaka na Mexico na mwezi Juni 2015
aliwaita wahamiaji kutoka Mexico "wabakaji" na "wauaji".
Donald Trump na Mkewake Melainia knauss Trump
Maoni ya Donald Trump "yanayokera
na kuzusha wasiwasi mkubwa" yanamfanya kuwa tishio kimataifa, Kamishna
mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa mataifa amesema.
Zeid Raad al-Hussein ametaja matamshi ya Trump kuhusu kutumia
mateso, na msimamo wake dhidi ya 'jamii zilizomo hatarini'.
Kampeni ya mgombea huyo wa chama cha Republican imekumbwa na
shutuma kali dhidi ya matamshi yake yanayozusha mzozo.
Mazungumzo yake ya
hivi karibuni kuhusu wanawake
0 Comments