Maafisa wa Mamlaka ya Usafiri wa
Anga(TCAA)wakilakiwa katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha mara baada ya
kuwasili kwa ajili ya kufanya ukaguzi kabla ya safari kwa ndege hizo kuanza.
|
Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Ndege Tanzania
(ATCL) ,Ibrahim Mussa ambaye pia ni
Mkurugenzi wa Utalii wa Shirika la Hifadhi za
Taifa
nchini(TANAPA) akizungumza na waandishi wa
habari juu ya faida za utalii
zitakazotokana na kukua usafiri wa anga
nchini.
|
Moja
ya Ndege mpya ya serikali iliyokodishwa kwa
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombadier Dash 8 Q400 ikitua kwa
mara ya kwanza katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha
Tuandikie Maoni Yako Hapa
0 Comments