Miss Singida Lissa Adamu atembelea familia zinazoishi katika maisha magumu katika kata ya Utemini na kutoa msaada wa chakula. |
Baada ya kutoa msaada wa Sukari,sabuni,unga wa sembe n.k. picha ya pamoja na familia |
Miss Singida Lissa Adamu alitoa msaada huo kwa zaidi ya familia 8 katika kata hiyo ya utemini. |
Kinywaji cha asili ya kabira ya Wanyaturu ni Mtukuru. |
0 Comments