MKUU WA MKOA WA SINGIDA AONGEZA SIKU 3 KWA MA DK BINGWA KUTOA TIBA

Mganga mkuu wa mkoa wa Singida Dr j. mwombeki akiongozana na mkuu wa mkoa  wa Singida  Eng  Methew mtigumwe kuangalia jinsi ma dr bingwa wanavyotoa tiba katika vituo mbalimbali mkoani Singida.

Akiongea na wagonjwa katika wilaya ya Singida Mtinko leo hii.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments