kabla ya mchezo wa kirafiki na staff wa Standard radio walitoa msaada wa mashuka katika Hospitali ya mkoa wa singida . |
Mh Diwani wa kata ya Utemini na M/kiti wa chama cha soka mkoa wa Singida (SIREFA) Mr kimario akitoa maoni yake na ushauri kwa umoja wa watuma salamu mkoa ndani ya Hospitali ya mkoa. |
Mganga mfawidhi mkoa wa Singida akizungumza na m/kiti na katibu wa umoja wa wanasalamu Shaban .r.mwani na Haruna kijanga. |
Wanahabari nao wakisikiliza mazungumzo Liliani munisi na Revocatus phinias wa Standard fm. |
Mganga mfawidhi Dr Ramadhani kabala akipokea msaada wa mashuka kwaajili ya wodi 6A |
0 Comments