SAMATTA AINGIA TENA KATIKA MAJINA YA SOCCER LA AFRIKA



Mbwana Ally Samatta, amekuwa miongoni mwa wachezaji waliotajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka huu.

Mbali na Samatta majina mengine makubwa yamo ikiwemo Mohammed Salah ambaye ni raia wa Misri anayekipiga Liverpool.


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments