OKWI,KAGERE WAINGIA KATIKA MAJINA YA CAF



Meddie Kagere na Emmanuel Okwi wamechaguliwa katika orodha ya wanasoka wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mwaka 2019 kwa Ligi za ndani kutokea Simba sc.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments