Aaskofu wa jimbo la Singida Edward Mapunda akiongoza sala ya sikukuu ya X mass Singida |
Raisi Magufuli akiwekewa mikono na askofu wa jimbo la Singida Baada ya ibada. |
Raisi Magufuli na mkewe mama Janet Magufuli |
Mama Janet magufuli akiongea na waumini wa ibada hiyo iliyofanyika katika kanisa kuu la jimbo la Singida. |
Raisi Magufuli akitoa salamu za chrismas katika ibada hiyo. |
0 Comments