| ||
Wakuu wa wilaya kutoka mikoa mablimbali wakisikiliza kwa makini. |
Add caption |
Baada ya kikao hicho wakuu hao walitembelea kiwanda cha mafuta ya Alizeti. |
mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia Emmanuel Maganga alikabidhi mafuta ya kula ya Mawese kwa mtendaji mkuu wa kiwanda cha Mout meru ili waweze kufanyia utafiti ili waweze kuwekeza pia mkoani kigoma. |
Wakikagua mzunguko wa maji masafi kiwandani hapo. |
Eneo la tiba ya maji machafu. |
vijana washifti wakipiga kazi. |
Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella akichangia jambo flani katika kiako hicho cha wakuu wa ulinzi na usalama kutoka mikoa ya maziwa makuu.
|
0 Comments