Katibu mkuu wa TOC Filibart Bayi akielezea lengo la maadhimisho haya kufanyika
hapa Mkoa wa Singida mwaka huu ni pamoja na kwamba:-
a. Wananchi wa Mkoa wa Singida wamekuwa na
mwamko
katika shughuli za michezo.
b. Mkoa wa Singida umekuwa kati ya Mikoa
chache ambayo imekuwa ikizalisha wanariadha wengi waliopeperusha bendera ya
Tanzania katika Michezo ya Kimataifa kama nilivyoeleza hapo juu.
c.
Tuikumbuke
kwa pamoja siku ambayo Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa ilianzishwa rasmi
(23/06/1894).
d. Michezo hudumisha afya bora.
e.
Michezo
huimarisha maadili ya Olimpiki, hasa kucheza kwa Upendo, Nidhamu, Haki sawa (Fair play), Umoja na Amani.
f.
Michezo
ni nyenzo nzuri ya kuleta watu pamoja.
g. Michezo ni ajira.
|
0 Comments