| Naibu spika akilakiwa na viongozi mbali mbali wa chama na serikali wakati anawasili katika ukumbi wa FDC Singida. |
| Katibu wa Mkuu wa CCM mkoa wa Singida Jimson Mhagama akimkaribisha naibu spika. |
| Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Mh Matha Mlata akiteta jambo na naibu spika. |
| Katibu wa chama mkoa nae akiteta jambo. |
| Mh Mlata akimwelezea naibu spika lengo la kikao hicho cha Halimashari CCM mkoa Singida kuwa ni kutoa tamko la mkoa juu ya kazi nzuri anazofanya Mh Raisi JPM |
| Naibu sipka wa bunge Tulia ametoa wito kwa wanachi kuwa na imani na viongozi waliyo wachagua na kudumisha ushirikiano. |
| Naibu spika Tulia alitoa Sh milion moja kwaajili ya nauli ya wajumbe |
| Dua ya kumuombea Raisi ilisomwa baada ya kikao hicho. |



0 Comments