| Mgeni rasimi Mh Matha Mlata akiongea na wananchi wa kata hiyo ya mitundu |
| Wakwanza kushoto ni Mh Yahaya Masale mbunge wa Manyoni katikati ni Sister Christiner Muro Afisa Elimu kata ya Mtundu |
| Wakwanza ni Mkurugenzi mtendaji wa Halimashauri ya Itigi Pius Luhende |
| Aliyeshika kichwa ni Mwenyekti wa Halimashauri Itigi Mh Alex Minja |
| Mkurugenzi mtendaji wa Halimashauri ya Itigi Piusi Luhende |
| Mh Yahaya Masale Magogo mbunge wa Manyoni akifafanua jambo. |
| Pamoja na kufanyika alambee ya ujenzi wa darasa la shule ya msingi Mtundu B Mh Mlata alitoa jezi pea 10 kwaajili ya michezo katika shule kumi za kata hiyo. |
| Baada ya alambee msafala ulielekea katika enero la shule hiyo ya Mtundu B japo kiza kilikuwa kimetanda. |
| Mh Matha Mlata akimkabidhi mkurugenzi mtendaji wa Itigi Piusi Luendematofali aliyatoa kwaajili ya ujenzi wa madara ya shule hiyo. |



0 Comments