Peter Mlimahandala |
Serikali imeshauIiwa kuweka misamaha ya
katika vifaa mbalimbali vinavyotumiwa na watu wenyeulemavu wa aina mbalimbali
hapa nchini.
Akiongea na standard redio mkuu wa idara ya walimu wenyeulemavu taifa Peter Mlimahadala amesema kunahaja ya
seikali kupunguza katika vifaa vya watu wenye mahita maalumu.
Milimahadara amesema vifaa hivyo
havizalishwi hapa nchini bali vinaletwa na wafanyabiashara kutoka nje ya nchi
na vikifika huuzwa kwa bei kubwa ilikurudisha gharama zao.
Aidha amesema katika kipindi hiki ambacho nchi inaelekea kuwa ya
viwanda bw, Peter ameiomba kuwekeza katika uzalishaji wa vifaa hiyo.
Akizungumzia kuhusu vifaa vya
kufundishia mwalimi pita amesema bado
nichangamoto kwani miundombinu mingi katika shele mbalimbali hapa nchini hazina
miundombinu rafiki kwa wanafunzi hao.
Kuhusiana na jamii amewataka kuacha
dhana potofu za kuwaficha watoto wao wenye ulemavu ilikja kupata haki yao ya
elimu pamojana na mambo mbalimbali.
meza kuu chini ya mwenyekiti wa CWT Mkoa Alann Jumbe (shati nyeusi) |
Wawa kilishi wa TTU kutoka kila wilaya mkoani Singida. |
0 Comments