Meneja wa Aridhi &Kilimo Actionaid Tz Elias Mtindi |
Wananchi mkoani singida wametakiwa
kuhakikisha wanashiriki katika suala zima la kujenga miundo mbinu ya shule kwa
manufaa ya wanafunzi wao pamoja na wao kwa ujumla.
Bi Zenna Msita Afisa Elimu maaalu Halimashauri ya wilaya ya Singida Dc |
Akiongea katika juma la elimu
duniadi afisa elimu maalum kutoka katika halmashauri ya wilaya ya Singida
Bi,Zenna Msita amewataka wannchi kuacha
kutegemea serikali au mashirika katika kuhamasisha suala la miundo mbinu ya
shule.
Amesema mnyanyasaji wa motto wa
kiki ni mwanamke na kuwataka akina mama kuongea na watoto wao mapema.
Kwaupande wao watoto wa kike
wamepaza sauti zao kuhusiana na mahitaji muhimu ikiwemo ujenzi wa vyumba maalum
vya kujiifadhi kwa watoto wa kike pindi wawapo shuleni pia elimu itolewe kwa
wazazi vijijini juu ya maitaji ya motto wa kike.
Mratibu wa mradi wa Mtinko Education Develop Org (MEDO) Agnes .M. Akwelin akifafanua jambo juu ya ujenzi wa vyumba maalum kwaajili ya watoto wa kike shuleni.
|
M/kiti wa huduma za Jamii Singida (w) Mh Emanuel Sima akifunga mafunzo hayo ya siku moja. |
Viongozi wa ngazi wa vijiji na wazazi wakipata elimu. |
0 Comments