ZIARA YA WILAYA YA SINGIDA (V)

Hapo ni Ilongero baada ya kutoka Ntonge
Hivi karibuni ma dakitari bingwa wa macho watakua wakitoa tiba ya mtoto wa jicho na macho kwa ujumla huku wengine wakipatiwa miwani ya kusomea ,zoezi hilo litaanza Nov 21 - 25 katika hospitali ya Mt carlolise Mtinko







Mtinko katika Hospitali sehemu ambayo ma dakitari bingwa watakapo weka kambi ya siku 5.





Hapo ni Makuro


Hapo ni Ghalunyagu karibu na mpakani mwa mkoa wa Manyara.


Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments