waziri mkuu Kassimu majaliwa akikaribishwa na mkurugenz mkuu wa Mount Meru Atul Mittal
|
|
Waziri mkuu majaliwa akisalimiana na mkurugenzi wa manisapaa Blavo kizito baada ya kuwasili kiwandani hapo
|
|
|
Mkiti wa CCM mkoa Matha mlata na ma DC wakiwasili |
|
Bw Atul Mittal akiongea jambo na waziri mkuu Mjaliwa |
Waziri mkuu Kassimu
Majaliwa ametembela katika kiwanda cha mafuta ya alizeti cha Mount meru
kilichopo mkoani singida na kujionea jinsi kiwanda hicho kinavyo fanya kazi.
Akiongea baada ya
kutembela kiwanda hicho waziri majaliwa amemtaka mmiliki wa kiwanda cha MOUNT MERU kuzalisha mafuta ya alizeti
yenye kiwango ili kuingia katika soko la kimataifa
Ametaka kuongeza bei ya
alizeti ikayaomnufaisha mkulima pamoja na kuajili wataalamu kutoka ndani ya
nchi.
Kwaupande wake miliki
huyo bw,Atul Mittal amemuhakikishia waziri kuu kuwa atawatumia watalaamu
walioko ndani ya mkoa na nchi pamoja na kuhahidi kuoneza bei ya alizeti kutoka
sh,850 kwa kilo moja hadi 1000, kuazia
hapo kesho.
Katika ziara huyo ya
kukagua kiwanda hicho waziri mkuu aliambatana na mkuu wa mkoa wa singida Dr
Rehema Nchimbi ,waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba , kamanda wa
polis mkoa , mkurugenzi wa manispaa ya singida pamoja na viongozi mbalimbali.
|
maji machafu yenye kemikali |
|
product mpya ya Mfuta ya Alizeti Singida |
|
waziri akipokea zawadi ya priduct ya Mount meru |
|
wanahabari wakitazama picha |
Tuandikie Maoni Yako Hapa
0 Comments