|
mwanafunzi akipewa msaada baada ya kuanguka darasani na kuanza kutambaa chini kama nyoka. |
|
Mwalimu mkuu wa shule ya Kibaoni Ismail Kiadia |
|
Diwani wa kata ya kindai Ommary kinyeto |
|
Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Blavo |
|
Mchungaji kabla ya kuanza kukemea mapepo. |
|
Mtendaji wa kata ya Kindai Juliana Munishi akizungumza na wazazi juu ya tukio hilo. |
|
Mch Paulo Mapande akikemea mapepo |
|
Mzazi Mustafa Athumani akisoma dua |
Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi
za KIBAONI NA MAEMBE zilizopo katika manispaaa ya singinda wameanguka wakiwa
shuleni hapo na kuzua tahaluki kitendo
kilochohusishwa na imani za kishirikina.
Akielezea hali hiyo mkuu wa shule ya
msingi Kibaoni ambako hali hiyo imejitokeza Ismail Kiadia wakati akizungumza na
kipindi hiki amesema kuwa matukio ya
kuanguka kwa watoto shuleni hapo.
Kufuatia hali hiyo viongozi wa serikali
mkoani Singida pamoja na wale wa dini wamefika katika eneo la shule ya Kibaoni lengo
ikiwa ni kuangalia namna ya kumaliza tatizo hilo limehusishwa na imani za
kishirikina.
Tuandikie Maoni Yako Hapa
0 Comments