mkuu wa mkoa wa Singida Eng Methew Mtigumwe akifungua kikao cha RCC |
M/kiti wa CCM mkoa wa Singida na (M) Mh Matha Mlata |
mkurugenzi wa manispaa ya Singida Blavo Kiziti akitoa ufafanuzi juu ya eneo la uwekezaji |
Mh Alan Kiula (M) |
Mh Aysheros Matembe (M) |
mkurugenzi wa wilaya ya Irambo Lino Mwageni |
M/kiti wa baraza la madiwani wilaya ya Singida (V) Elia Digha akichangia juu wa uwekezaji wa viwanda vidogovidogo nyuma yake aliyesimama ni Meneja wa SIDO mkoa wa Singida.
|
Mh Elibariki Kingu (M) akihoji juu ya wataalamu kushindwa kutatua tatizo la ndege waalibifu kuaribu mazao ya wakulima . |
Mh Emmanuel Mtuka (M) |
Mh Lazaro Nyarando (M) |
Shoma Kibende meneja wa SIDO mkoa wa Singida akifafanua jambo baada ya kutakiwa kutoa ufafanuzo |
0 Comments