UTPC YATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA SINGPRESS CLUB

kulia ni m/kiti wa Singpress Ranko Banadi akibadilishana mawazo na katibu mkuu wa Singpress Emmanuel Michael baada ya kupewa  mwongozo wa mpango kazi.
katikati ni Jackson G. Uisso Finance ofificer kutoka UTPC.

Jacson Uisso akisikiliza na kujibu maswali yaliyoulizwa.




kamati tendaji ya Singpress ikipata mafunzo 

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments