WAFANYABIASHARA SINGIDA WAGOMEA KIKAO NA SERIKALI

ukumbi wa Rc Mission  Singida watu hakuna 




Mkuu wa wilaya ya Singida E.Tarimoa asikitishwa na tukio hilo kwani wao wenyewe kupitia uongozi wao ndiyo waliyo omba kukutana na serikali ya mkoa ikiwemo ofisi ya mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya na mkurugenzi mtendadi.

Bw Tarimo ametoa wito kwa wafanyabiashra mkoani Singida kuwa serikali ipo tayali kuwasikiliza ili kuweza kutatua matatizo yao.

Frolian Malya M/kiti wa jumuia ya wafanyabishara amesikitishwa na kitendo cha  wafanyabiashara kutojitokeza katia semina hiyo iliyoitishwa na umoja huo wa wafanyabiashara lengo likiwa kujadili mwenendo mzima wa ukusanyaji kodi  na kupata semina kutoka kwa mamlaka husika na ukusanyaji wa mapato TRA manispaa na n.k

M/kiti wa TCCIA mkoa wa Singida ametoa wito kwa wafanyabiashara mkoani singida kubadilika kwani wamekuwa na mtazamo tofautu juu ya vikao vinavyoitishwa mala kwa mala wakidhani kuwa ni vikao vya michango na alambee.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments