Mkuu wa wilaya ya
Singida Bw. Eliasi John Tarimo amesema hayo wakati akifanya ziara ya kutembelea
msitu huo na kujionea uhalibufu uliofanywa na watu walivamia msitu huo
Bw. Tarimo ameeleza
kuwa amesikitishwa na uharibufu unaendelea kufanywa katika Hifadhi ya Mgori
ambayo ndio hifadhi pekee wanayoitegemea katika halmashauri ya Singida.
Aidha Bw. Tarimo
amesema kuwa hatamfumbia macho mtu yoyote atakae husika na uharibufu wa
mazingira katika hifadhi na maeneo mengine na hautua kari za kisheria zitachukuliwa
dhidi ya muhusika
|
0 Comments