SHIRIKA LA DAWA ASILI NA ULINZI WA MAZINGILA LATOA SEMINA KWA WAGANGA WA TIBA ASILI

Katibu mkuu wa Shirika hilo la dawa asili (TRAMEPRO) Boniventure Mwalongo wakati akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za SINGPRESS CLUB Singida.


Shirika la dawa asilia na ulinzi wa mazingira,wameiomba serikali mkoani Singida kutoa ushirikiano katika zoezi la utoaji elimu juu ya tiba asili na utunzajia wa mazingira unaotarajia kuanza hivi karibuni mkoani Hapa.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments