| Dr wa timu ya Singida united akipeana mikono na Kimario |
| Katibu wa timu ya Singida united Abdulahaman Sima akifafanua juu ya matayalisho ya mchezo wa j mosi dhidi ya polisi Dom katika dimba la Namfua. |
| Kocha Fredy Felix Minzilo akifuatilia na kutoa maelekezo kwa timu pembemi ni Rashidi Gumbo. |
| Bw Balitazar Kimaria akitoamaoni yake juu ya mchezo wa Jmosi kati ya Singida united na Polisi Dom ikiwani Ligi Daraja la kwanza group c. |



0 Comments