Dc Tarimo akiwasili uwanjani na msaidizi wake. |
Mgeni rasimi wa mchezo huo mkuu wa wilaya ya Singida Dc Tarimo akiongozana na DC wa Ikungi Mh Miraji wakati wa kukagua timu kabla ya mchezo. |
Singida united |
Panone fc ya Kilimanjaro |
kocha msaidizi wa singida united Jumanne charles akiongea na Nizar kharfani captain pembeni ni dk wa timu akitoa huduma ya maji kwa Boaz. |
waandishi wa habari kutoka Kilimanjaro na Singida wakiongea na mkurugenzi wa GSS na Singida united Bw yusuf mwandami ( jezi nyeupe) . |
Cales katemana (shot pence) akiongea na mwamuzi na mwenyekiti wa FLAT manispaa na mwamuzi wa ligi kuu ya vodacom Arnord bugado baada ya mchezo wa ligi daraja la kwanza. |
0 Comments