MANISPAAA YA SINGIDA YATOA TAMKO JUU YA SOKO LA MSUFINI NA MAGARI YA MIZIGO

Revocatus Phinias Mwandishi wa habari na Deo Luziga mchumi wa manispaa akitoa ufafanuzi juu ya wafanyabiashara wa ndizi wa soko la msufini manispaa ya Singida wametakiwa kuacha malamoja kutupa maganda ya ndizi katika enero hilo pindi ndizi hizo zinapotelemshwa sokoni hapo.

Magari yote ya mizigo yanayopaki katika Barabara ya Arusha Kirima Bar Singida mjini yaamia Stend ya zamani ni kauli ya mchumi wa manispaa ya Singida Deo Luziga.



Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments