LIVEPOOL YAIFUMUA WEST BROMWICH 2-1


  Mshambuliaji Sadio Mane akiunganisha pasi ya Roberto Firmino kuifungia Liverpool bao la kwanza katika ushindi wa 2-1 dhidi ya West Bromwich Albion leo Uwanja Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Philippe Coutinho, wakati la wageni lilifungwa na Gareth McAuley 
Add caption



Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments