SERENGETI BOYS WATUA CONGO



Baada ya kupata ushindi 3-2 katika mchezo wa kwanza katika uwanja wa taifa mbele ya waziri mwenyedhamana ya michezo Mh Nape mnawie timu ya Serengeti boys imewasili Congo Brazavile kwaajili ya mchezo wa pili kama watapata ushindi au sale basi timu hiyo itasonga mbele.

Tuandikie Maoni Yako Hapa

Post a Comment

0 Comments