Mkuu wa mkoa wa singida Eng Methew mtigumwe akifungua mafunzo hayo ya siku 5 katika ukumbi wa mkaguzi mkuu wa serikali. |
Kaimu mkurugenzi wa mkuu wa TANTRADE Edwin rutangeka akielezea juu ya program ya mafunzo ya uwezeshaji MSMEs sekta ya nyuki na bidhaa zake |
Add caption |
Meneja wa shirika la viwanda vidogo vidogo sido mkoa wa Singida Bi Shoma kibende nae akielezea juu ya mpango mkakati wa shirika hilo. washiriki wa mafunzo hayo |
0 Comments